Free shipping on orders over TZS 200,000 across Tanzania Shop Now
All games ChemshaBrain

Soma Haraka

Kiswahili Reading Class II Level D 8 seconds
Mama anapika. Baba analima. Mtoto analala. Kuku anakula. Jua ni kali. Ninapenda embe.
Dada anasoma. Mbwa anakimbia. Bibi anashona. Samaki yuko majini. Mvua inanyesha. Tunakwenda shule.
Kaka anacheza mpira. Paka yuko juu ya meza. Ng'ombe anakunywa maji. Mwalimu anaandika. Ndege anaruka. Nina kalamu mbili.
Within 8 SecondsMax. Scores: 30 Soma HarakaBest for: Class II “Education is the only conflict-free inheritance”By Kelvin Paul - Founder of ChemCheemi
Round 0/30 0
Ready?

Press any button to start

8

Paused

Press any button to go on

Free preview ended

Get the ChemshaBrain to play all 30 rounds

0/30

Press any button to play again

Keyboard: 1 2 3 or R B Y

Learning goal: Kusoma sentensi fupi za Kiswahili kwa ufasaha na kuelewa maana.